Vitz inauzwa

Vitz inauzwa

Naipendatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
5,091
Reaction score
8,243
Imetembea kms 112000, ya mwaka 2000, nimeichukua showroom dsm last year february, ipo katika hali nzuri. matairi mapya, full ac, redio inafanya kazi vizuri. Namba ya usajili ni T...BZ.. Bei ni 6m.
 
Attachments

  • IMG_20130728_102528.jpg
    IMG_20130728_102528.jpg
    21.8 KB · Views: 156
  • IMG_20130728_102544.jpg
    IMG_20130728_102544.jpg
    23.2 KB · Views: 142
  • IMG_20130728_102559.jpg
    IMG_20130728_102559.jpg
    30.5 KB · Views: 135
  • IMG_20130728_102614.jpg
    IMG_20130728_102614.jpg
    23.2 KB · Views: 129
  • IMG_20130728_105320.jpg
    IMG_20130728_105320.jpg
    26.6 KB · Views: 132
Imetembea kms 112000, ya mwaka 2000, nimeichukua showroom dsm last year february, ipo katika hali nzuri. matairi mapya, full ac, redio inafanya kazi vizuri. Namba ya usajili ni T...BZ.. Bei ni 6m.

ikwa nini unaiuza...wakati walio wengi wanaikimbia kama gari nzuri inayotumia mafuta kidogo?Je 4M unaweza chuku nikupa muda huhu
 
naiuza coz nimebanwa na ujenzi, nataka kumalizia nyumba yangu ili nihamie and nina gari lingine, 4m sichukui
ikwa nini unaiuza...wakati walio wengi wanaikimbia kama gari nzuri inayotumia mafuta kidogo?Je 4M unaweza chuku nikupa muda huhu
 
Back
Top Bottom