TCleverly
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,921
- 873
Pamoja na kusikia kwamba mtwara kuna vurugu kubwa lakini hakuna hata kituo kimoja cha television kinachoonyesha au breaking news hizo.....tbc wanaonyesha harusi,channel 10 wanaonyeshamakwaia wa kuhenga sijui,stat tv wanaonyesha wanyama,itv wanaonyesha tamthilia,eatv wanaonyesha irene kiwia,clouds tv muziki!!!!!!hivi ni kwamba hawana anchors huko au ndio wako kisiasa na woga????