Nikiingia kwenye account yangu kwenye sehemu ambako usaili utafanyika hakuna jina la kituo na badala yake wanaelekeza kuingia kwenye tovuti ya
www.ajira. go.tz kwa taarifa zaidi lakini nako hakuna taarifa yoyote.
Shida ni nini hapa wakuu? Au majina ya vituo bado?