ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,241
- 85,119
Serikali imesema itaanza awamu ya pili ya ujenzi wa Vituo vya Afya 214 kwenye Kata zote za Kimkakati Nchini.
Kwa miaka 4 ya mama atakuwa kajenga jumla ya Vituo vya Afya 450 plus vifaa tiba na Ajira Juu.
View: https://twitter.com/ortamisemitz/status/1703015971940683886?t=TRrcPA_ngFuLW3VZ9f9Q4w&s=19
My Take
Awamu ya Kwanza chini ya pesa za tozo Serikali ya Mama ilijenga Jumla ya Vituo vya Afya 206.Fanyeni hesabu harafu mlinganishe na wale wazalendo waliokuwa wanajihamba Kwa Vituo vya Afya 350 Kwa Miaka 5.
View: https://www.instagram.com/p/CxQh3v0NRR_/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==