YUDITHA Senior Member Joined May 5, 2013 Posts 154 Reaction score 28 Sep 21, 2013 #1 Ndugu naomba kujuzwa juu ya bei ya vitunguu hapo ruaha mbuyuni kwa gunia. Pia uwingi wa upatikanaji ni mkubwa kiasi gani? Natanguliza shukurani zangu.
Ndugu naomba kujuzwa juu ya bei ya vitunguu hapo ruaha mbuyuni kwa gunia. Pia uwingi wa upatikanaji ni mkubwa kiasi gani? Natanguliza shukurani zangu.
YUDITHA Senior Member Joined May 5, 2013 Posts 154 Reaction score 28 Oct 5, 2013 Thread starter #3 Kwa Wanaofanya Biashara Naomba Mnijuze Upatikanaji Wa Vitunguu Ruaha Mbuyuni
nurdi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 256 Reaction score 71 Oct 8, 2013 #4 YUDITHA said: Kwa Wanaofanya Biashara Naomba Mnijuze Upatikanaji Wa Vitunguu Ruaha Mbuyuni Click to expand... Wiki 2 zilizopita nilinunua 35 elfu kwa gunia
YUDITHA said: Kwa Wanaofanya Biashara Naomba Mnijuze Upatikanaji Wa Vitunguu Ruaha Mbuyuni Click to expand... Wiki 2 zilizopita nilinunua 35 elfu kwa gunia
Rocket Senior Member Joined Apr 11, 2011 Posts 133 Reaction score 7 Oct 10, 2013 #5 YUDITHA said: Ndugu naomba kujuzwa juu ya bei ya vitunguu hapo ruaha mbuyuni kwa gunia. Pia uwingi wa upatikanaji ni mkubwa kiasi gani? Natanguliza shukurani zangu. Click to expand... ulitaka kiasi gani!!!!na una uzoefu na hii biashara...ni pm kwa detail zaidi
YUDITHA said: Ndugu naomba kujuzwa juu ya bei ya vitunguu hapo ruaha mbuyuni kwa gunia. Pia uwingi wa upatikanaji ni mkubwa kiasi gani? Natanguliza shukurani zangu. Click to expand... ulitaka kiasi gani!!!!na una uzoefu na hii biashara...ni pm kwa detail zaidi
cooper JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 430 Reaction score 110 Oct 10, 2013 #6 We sema unshitaji kiasi gani na ofa yako ikoje. Vitunguu vingi tu hata ukitaka gunia elfu kumi.