Prochnost
Member
- Jul 8, 2016
- 42
- 9
Habari ya asubuhi ndugu zangu, nina gunia 250 za vitunguu nauza kwa atakaehitaji tafadhali tuwasiliane 0622007272.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni roughly acre 5 kumbuka hizi ni zile za 70*70Mkuu samahani lakini,unaweza kuniambia izo ni hekari ngapi umevuna na mbegu gani maana nataka nianze kilimo uko uko Ruha