vitumbo kwa wanawake

ahaaaa hebu cheki avatar yangu hapo nipe maksi[/QUOT

nakufahamu haha safi sana! naona cku hiz umetutolea ile avatar yako ulopiga hips zako. nazipendaga zile ujue?
 
Si nasikia mnapenda wenyewe vitambi?
tunapenda wangapi? mimi msipendi wala sijawai ... napenda mwenye afya ila sio kitambi...sipendi vyembamba pia...mwanaume lazima awe na mwili nienee huko sio nalalia chaga mie
 
Ni ishara ya pesa?
Hata mimi zamani niliamini mtu mwenye uwalaza ni msomi sana na iko pesa mingi na nikiona mwenye mvi kama Lowasa najuwa hapo hekima zimejaa kumbe wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…