unakuta msichana mzuri kaumbika kiafrika na anavutia ukimtizama ila tumbo sasa dah mpaka linaning'ing' inia yanii
wengine hata wajazaa bado sasa walikwisha kuwa wazaxi wanajiachia sana ndio tunapenda bantu figure ila liwe natural sio la kupikwa kwan linanenepesha kila kitu....na sku hizi na body suit zao zunaaacha vitambiiii bwereeeeee
Wewe ukianza kunenepa unaanza na tumbo ndio makalio, sasa kama unataka flat tummy, basi na masaburi yatakuwa flat.
Huyo ameoverdo, la kuning'inia ni kama umezaa na haukulifunga tumbo, au ugonjwa au obesity. Lkn ukiwa na mzigo (mafuta) na kama huna mazoezi basi tumboni ni moja ya area ambapo fat zinahifadhiwa.Mhhhh!!!! Kaunga mie nimeona wadada wengi tu na wowowo za kukata na shoka halafu tumbo si la kuning'inia kama alivyodai muanzisha uzi.
ahaaaa hebu cheki avatar yangu hapo nipe maksihili jambo ni janga la taifa, tatizo dada zetu nao siku hizi mpaka supu ya kongoro nao wamo, supu ya ulimi nao wamo supu ya mkia nao wamo supu ya kichwa nao wamo. Mwe!!
ahaaaa michemsho wanatupa wenyewe sijui masimango ya nini sasahahaha. Yaani masimango yangekuwa yanaondoa vitambi mbona vingetoweka kwa jina la mapenzi!
Ngoja nikale kitimoto mie mweeh.
Hili jambo ni janga la Taifa, tatizo Dada zetu nao siku hizi mpaka supu ya kongoro nao wamo, supu ya ulimi nao wamo supu ya mkia nao wamo supu ya kichwa nao wamo. mwe!!
ahaaaa michemsho wanatupa wenyewe sijui masimango ya nini sasa
Utaona dada kitumbo hicho ukiuliza ana mimba unaambiwa ndivyo alivyo mwaka wa 4 huu.
utaona dada kitumbo hicho ukiuliza ana mimba unaambiwa ndivyo alivyo mwaka wa 4 huu.