vituko

vituko

winmulu

Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
40
Reaction score
8
Cheka kidogo ondoa stress;""";:'.........""""""" Kuna jamaa wawili walifika stesheni bahati mbaya wakakuta treni ndiyo kwanza inaondoka Wakaanza kuikimbiza.Mmoja akafanikiwa kupanada akaenda nayo..!!Yule aliyebaki akaanza😄😄😄😂😂kucheka saana mpaka machozi yakamtoka..Wapita njia wakawa😳😳😳 wanamshangaa,,wakamuuliza,inacheka nini sasa wakati umeachwa?Akawajibu;; "Kinachonichekesha,yule aliyepanda alikuwa ananisindikiza."😂😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom