ndio maana akakiwacha wazi ili ukione!Mbona kitovu kamaaa.....!
Duh Wema has gutts jamani.. Ila i guess alijua litaongelewa. She loves the attention!
Skendo ndo kitu pekee cha
kumfanya aendelee kuw hewani, ndo miss mwenye skendo nyingi kuliko wote
na vilevile ndo miss ambaye amefaulu kuvuta attention ya media kwa muda
mrefu zaidi na hivyo kuendelea kusikika kwa muda mrefu zaidi
Kumbe bado ni Miss eeh!
acheni kumnanga, tena nyie mnaomnaga ndio maudenda yanawatoka. she is cute kwa yule ampendae. kuna watu wana matumbo ka mito, hawathubutu hata kuvua nguo mbele ya waume zao kukiwa na mwanga! muacheni wema, lol!