Vituko vya watoto, Wanyama wa wakali Hawawadhuru.

Vituko vya watoto, Wanyama wa wakali Hawawadhuru.

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956

baby4.jpg
Vituko vya watoto, Wanyama wa wakali Hawawadhuru.
​

Utoto raha sana yaani ujui hatari yoyote unaweza ata shika kaa la moto utashtuka ushaungua.
 
Huyo mtoto sidhani kama alitoka salama labda nyoka kibisa
 
Haha ushahidi wa kisayansi upo?
Nyoka anakuuma endapo tu atahisi uadui au usumbufu kwake¡
Sasa anahisi vipi uadui kwa mtoto wakati mtoto hajui hatari yoyote hivyo adrenaline zake zipo normal? Wewe unayejua hatari ukishtuka tu adrenaline zinapanda na nyoka ana uwezo wa kujua hilo ndio maana anajihami

Ila kwa hilo la ng'ombe sijui
 
Ahahhaahah
Ng'ombe hana Utani kabsa!
 
Back
Top Bottom