Vituko vya wakinga ktk biashara

Mbugi

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
1,488
Reaction score
258
Ilitokea siku moja mkinga mmoja mfanyabiashara alipigiwa simu na ndugu yake aliyekuwa amesafiri kwenda mnadani kumtaarifu kuwa amepata "breakdown" ndipo huyu mfanyabishara (mtaarifiwa) anamjibu mwenzake kuwa kama hiyo breakdown inalipa aibebe asiiache.
 
Unakataa nini shemeji wakati ukipata hasarara kermis biashara mnajinyonga?
 
ajauliza niya nchi gani iyo breakdown? Maana wakinga mh!
 

Malizia basi maana hata haueleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…