Vituko vya Tanga

Vituko vya Tanga

muya os

Member
Joined
May 10, 2011
Posts
23
Reaction score
18
Tanga maeneo ya ngamiani wameweka vibao hivi kuonyesha mitaa ikiwa kwa kiswahili na kiingereza kwa maoni yangu nafikiri kwa kiingereza wangeandika 7th Road au Road # 7 badala ya 7Road kwangu mimi hii haipo sawa viongozi wa jiji la Tanga rekebisheni hii aibu kama hatujui nafuu tungeandika kiswahili tu ambacho ndio kulikuwa kinatumika miaka yote badala ya hii. Hicho ni kibao kimoja upande mmoja kiswahili mwengine kizungu
20190526_140550.jpeg
20190526_140541.jpeg
 
Sele Boss ( ze punga )
Unamjua Meya wa jiji la Tanga?unajua alimgombeza Mwl kwa kuchelewa kazini(kumbe aliwahi ila Meya hakuelewa kilichoandikwa), kama umemkumbuka basi usichangae hilo mkuu
 
Tanga kila kitu ni vituko tu mi nilikuta punda town kabisa pemben tra na nbc bank tena si mara moja ni mara kibao na ukienda makorora wamejaa kama wa kukod sijui ndo tax zao na ukipita usiku njia ya kutoka makorora kwenda sahare uwe makin wanalala katikati ya barabara pale opp ma makabur
 
Mbona iko sahihi si 7 road
Ikiwa inamaanisha nini hiyo 7Road? Ndio barabara ya saba? Ukifuatilia nature ya hizo barabara ni kuanzia barabara ya kwanza sio barabara ya moja hivyo katika kuhesabu unatakiwa uweke first road second road 3rd road 4th road etc sasa unaposema 7 road unamaanisha nini??
 
Mambo ya kitanga hayo !maji ya kuogwa kutiwq hilikki na mdalasini na kende kuwekwa kwenye kisahani ukisindikizwa bafuni!
 
Tanga kila kitu ni vituko tu mi nilikuta punda town kabisa pemben tra na nbc bank tena si mara moja ni mara kibao na ukienda makorora wamejaa kama wa kukod sijui ndo tax zao na ukipita usiku njia ya kutoka makorora kwenda sahare uwe makin wanalala katikati ya barabara pale opp ma makabur
 
Tanga kuna mahajabu kweli eti pumb****,zinawekwa kwenye kisahani tanga jamani
 
Waacheni watanga kwani kinawauma niniiii
 
Back
Top Bottom