sidhani kama siku kama hiyo ipo kwenye kalenda ya kichwa chake, maana jibu tayari analijua. some things are just imposible you know. Mimi ntaacha kazi kwa kupenda mwenyewe na kwa sababu ambazo naona zinafaa na siyo kwa sababu tu mume ametaka niache. Kuna watu wanawambia wake zao you get everthing, why not stay at home? kumbe wanasahau hata maji ya asubuhi uogapo kwenda job ni dawa, it gives you a sense of fulfilment, it gives you exposure and you get time to know what is going on. Sasa ukifungiwa ndani ubaki unapika na kupakua, unalala na kuangalia tv, for some of us thats more than being in a prison. ieleweke watu wqnafanya kazi kwa malengo mbalimbali si tu mshahara.
Wadau Mimi nimfanyakazi Mke wangu nimfanyakazi wote tunapata Mshahara sawa!!Lakini pesa zangu ndizo zinafanya kila kitu ndani!!Yeye ukimwuliza anasema wewe sindo baba mwenye nyumba!!Yeye zake nikununua mahitaji yake binafsi!!Sasa na Mpango wakumwachisha kazi je nitakuwa nimemkosea??kwani sioni sababu ya yeye kufanya kazi!!
that is the attitude, umsikilizie kama atakubali.
Na ndio maana wanaume wengine wanapenda kuoa darasa la saba ili wawaendeshe wanavyotaka kama gari bovu.Wanasingizia eti WASOMI wna kiburi kumbe wanatafuta mteremko wa ndio ndio bila reasoning yoyote.
mie nilimjibu bora tutangane/tuachane...ckuona sababu ya mie kuacha kazi kwa ajili ya vijimambo vyake tu.
Na ndio maana wanaume wengine wanapenda kuoa darasa la saba ili wawaendeshe wanavyotaka kama gari bovu.Wanasingizia eti WASOMI wna kiburi kumbe wanatafuta mteremko wa ndio ndio bila reasoning yoyote.
Carmel,
Wala usiwe na shaka. Kama unajua unachohitaji katika mahusiano huwezi kupata shida. Halafu wanaume wanapima upepo kabla ya kuleta hoja. Kwa hiyo kwa mtu kama wewe naamini hataweza kukueleza upuuzi kama huo. Shida yangu ni wanawake ambao wapo wapo hata wakiambiwa kwenda kwao likizo wanaenda tu bila kujua kuwa labda mume anatafuta nafasi akapumue na nyumba ndogo. Yaani hawawezi kuhoji lolote. Nawaonea huruma sana dada zangu wa aina hiyo.
mbaya zaidi unawezakuta jamaa anakukataza sababu tu ya wivu and not otherwise
thats very true, thats the only reason they want std 7, maana kila kitu ni yes sir.Na ndio maana wanaume wengine wanapenda kuoa darasa la saba ili wawaendeshe wanavyotaka kama gari bovu.Wanasingizia eti WASOMI wna kiburi kumbe wanatafuta mteremko wa ndio ndio bila reasoning yoyote.
Hilo ni kweli lakni ni wachache sana na ninaweza kusema wana INFERIORITY COMPLEX ambayo Shule imefeli kuiondoa.Ni sawa na kusema kuna wanaume huwa wanapokea kipigo toka kwa wake zao na wakiwa nyumbani ni ma-BUSHOKE.Lakini dada wapo wasomi pia ambao wamezuiwa kufanya kazi na wengine wanacharazwa bakora kama watoto wa shule!
Wadau Mimi nimfanyakazi Mke wangu nimfanyakazi wote tunapata Mshahara sawa!!Lakini pesa zangu ndizo zinafanya kila kitu ndani!!Yeye ukimwuliza anasema wewe sindo baba mwenye nyumba!!Yeye zake nikununua mahitaji yake binafsi!!Sasa na Mpango wakumwachisha kazi je nitakuwa nimemkosea??kwani sioni sababu ya yeye kufanya kazi!!
'hahaaa na mbona mpaka leo hamjatengana??? alikuwa anapima kina cha maji huyo!!!
mi ntamwambia yeye aache mi niendeleee kufanya kazi!!!
Watu wanaitafuta ndoa unaweza kubaki mdomo wazi tu.............ucje niambia mtu akiambiwa hivyo bado ataendelea na mikakati ya ndoa dear, mbona ndoa zimekuwa za masharti sana.
'
nilikuwa naona sasa ninaokoelekea sio nyamayao tena, nilijiona naendekeza ujinga tu, kila cku mtu kaja kanuna, kisa kile kile, nikamuweka kiporo cku ya cku karudia tena hakuamni na jibu la kujiamni kabisa coz nilikuwa tayari kwa kila kitu, matokeo yake naambiwa nina homa, cjui kitu gani, homa ya kufoji ni hakutegemea jibu hilo....
zina masharti mpaka basi, wakati mtu alikukuta na kazi yako tena anataka kukuachisha sijui ukae tu nyumbani kumpikia na kumfulia , watu wana dhalau sana aisee, mie nilimwambie aendelee kutafuta majumbani huko kuna wanawake kibao wasio na kazi aoe
Watu wanaitafuta ndoa unaweza kubaki mdomo wazi tu.............
Watu wanaitafuta ndoa unaweza kubaki mdomo wazi tu.............
Naona wabeijing hapa mmepatia sehemu ya kusemea yaani mmeacha tatizo la msingi la bwana KakaKiiza mmegotea kwenye kuachishwa kazi. Kimsingi kumuachisha mwenzio kitu chochote achilia mbali kazi bila ridhaa yake si jambo la busara lakini hebu basi tumshauri huyu bwana especially ninyi ambao mnashikia bango na wazo lake la kumuachisha mkewe kazi na si wengine bali ni Nyamayao, bht na carmel. I wonder WoS na MJ1 sijawasoma kabisa hapa leo maana najua wakiingia hapa........mtamalizia wenyewe.

ha ha ha hii naona kama ni thread nyingine inayo jitegemea lol!Hilo ni kweli lakni ni wachache sana na ninaweza kusema wana INFERIORITY COMPLEX ambayo Shule imefeli kuiondoa.Ni sawa na kusema kuna wanaume huwa wanapokea kipigo toka kwa wake zao na wakiwa nyumbani ni ma-BUSHOKE.