FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,418
Wanaachishwa sana tena. Na wengine wanazuiwa kabisa kufanya kazi. Kuna wadada 2, wana Master degrees na wamezuiwa kunyanyua mguu kutafuta kazi.
Hapana dada. Kila ndoa ni taifa huru. Kwa hiyo usidhani wote wanaishi kama nyie. Wapo akina mama pamoja na kukata shule wanalazwa chini na kutandikwa viboko kwa makosa ya kipuuzi kama kuvunja chupa ya chai.
Hata hivyo mimi sipendi tabia za namna hiyo. Mama akiwa huru familia inakuwa na amani zaidi. Na uhuru ni pamoja na kufanya kazi na kuwa na uhuru wa kuamua jinsi ya kutumia mapato yake. Hata hivyo inabidi aangalie mipango mizima ya maendeleao ya familia kwa ujumla!
Simple -
1. Jaribu ku-bana matumizi hapo ndani kwenu (mkate bila blue band: wali maharage: soda marufuku: e.t.c) then she will always "fill the vaccum"
2. Chukua likizo ya siku 14 halfu mtaarifu mkeo umesimamishwa kazi indefinitely - usitoke ndani kabisa : then utaona umuhimu wa pato lake
Haya lakini nahao wanawake wamekubali kulazwa chini na kutandikwa viboko.... I mean wamekubali kuachishwa kazi na kutandikwa viboko na kuwa humiliated... kitu ambacho mie siwezi kukubali....
kabisa kabisa, mie nililetewa za kuleta mwanaume hakuamni nilipomuambia kuliko niache kazi ni bora tutengane/tuachane.....yaani niache kazi halafu iweje?...mama mkwe amenisumbuaga sana.
Watu wengine wana tabia mbaya, hasa hiyo shule mwenzake kasoma ili akae nyumbani? Ila vitu vingine nafikiri hata hao wadada wenyewe labda maisha yao tambarare! Sisi wengine tuna watu wanatutegemea kibao, ambao waume zetu wanakijausha kama hawawaoni, so inabidi tuwakwamue. Sasa, kwenye hayo majadiliano ya kuachishana kazi, tuanze na kuulizana, je akina fulani na fulani utawaweka kwenye list yako ya kuwaendeleza kimasomo?
Do
Dark City hiyo ni sawa na UTUMWA KAMILI!
Hiyo si ndoa tena ni kitu kingine kabisaaaa!
Ndoa za sasa zinavyokuja na mawimbi na dhoruba kali ...wazo la kuachishana kazi nadhani lingekuwa la mwisho kufikirika
Kwa kweli hata mi sielewi, nikifikiria jinsi nilivyokuwa na struggle na shule na mitihani, yani roho juu juu ili tu nikamate hayo madegree siwezi leo hii nikayaweka kabatini na kusahau kwa sababu tu mume kaamua, lol, kweli kila ndoa ni independent entity. Haiingii akilini kabisa, suala la kuchangia gharama ni sawa na ni swala la kuongea tu na kukubaliana, lakini kumwashisha mtu kazi ni mwanzo wa mgogoro mwingine mpya.Watu wengine wana tabia mbaya, hasa hiyo shule mwenzake kasoma ili akae nyumbani? Ila vitu vingine nafikiri hata hao wadada wenyewe labda maisha yao tambarare! Sisi wengine tuna watu wanatutegemea kibao, ambao waume zetu wanakijausha kama hawawaoni, so inabidi tuwakwamue. Sasa, kwenye hayo majadiliano ya kuachishana kazi, tuanze na kuulizana, je akina fulani na fulani utawaweka kwenye list yako ya kuwaendeleza kimasomo?
Carmel bwana umenifurahisha sana. Hivi unaishi wapi, ina maana huoni jinsi wanaume wanavyowaachisha kazi wake zao???????? Haya mambo yapo na yanatokea sana tu.
Kwa kweli hata mi sielewi, nikifikiria jinsi nilivyokuwa na struggle na shule na mitihani, yani roho juu juu ili tu nikamate hayo madegree siwezi leo hii nikayaweka kabatini na kusahau kwa sababu tu mume kaamua, lol, kweli kila ndoa ni independent entity. Haiingii akilini kabisa, suala la kuchangia gharama ni sawa na ni swala la kuongea tu na kukubaliana, lakini kumwashisha mtu kazi ni mwanzo wa mgogoro mwingine mpya.
Kwa kweli hata mi sielewi, nikifikiria jinsi nilivyokuwa na struggle na shule na mitihani, yani roho juu juu ili tu nikamate hayo madegree siwezi leo hii nikayaweka kabatini na kusahau kwa sababu tu mume kaamua, lol, kweli kila ndoa ni independent entity. Haiingii akilini kabisa, suala la kuchangia gharama ni sawa na ni swala la kuongea tu na kukubaliana, lakini kumwashisha mtu kazi ni mwanzo wa mgogoro mwingine mpya.
kuna ndoa eeehh, kha mbona tabu hizi jamani.
Naam, Ulikuwa unasemaje Nyamayao?hivi wewe!
Nyamayao kuna mambo duniani acha tu yaani mwingine ni Boyfriend tu anakuambia kama unataka tuoane basi acha kazi, utafikiri alikusomesha yeye, kisa tu umempenda
kwa watu wa haib ayako ni ngumu saaaaaaaaaaaaaaaaana aisee kuachishwa kazi tena naona ni ndoto kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! mume agani huyo atakayediriki kufanya huo 'upuuzi'
nikuulize hivi 'muheshimiwa siku moja anakuja na hiyo kuwa mama sasa kazi basi kaa nyumbani, sioni sababu y awewe kumenyeka.....utafanya nini Carmel???
ucje niambia mtu akiambiwa hivyo bado ataendelea na mikakati ya ndoa dear, mbona ndoa zimekuwa za masharti sana.
mie nilimjibu bora tutangane/tuachane...ckuona sababu ya mie kuacha kazi kwa ajili ya vijimambo vyake tu.
sidhani kama siku kama hiyo ipo kwenye kalenda ya kichwa chake, maana jibu tayari analijua. some things are just imposible you know. Mimi ntaacha kazi kwa kupenda mwenyewe na kwa sababu ambazo naona zinafaa na siyo kwa sababu tu mume ametaka niache. Kuna watu wanawambia wake zao you get everthing, why not stay at home? kumbe wanasahau hata maji ya asubuhi uogapo kwenda job ni dawa, it gives you a sense of fulfilment, it gives you exposure and you get time to know what is going on. Sasa ukifungiwa ndani ubaki unapika na kupakua, unalala na kuangalia tv, for some of us thats more than being in a prison. ieleweke watu wqnafanya kazi kwa malengo mbalimbali si tu mshahara.kwa watu wa haib ayako ni ngumu saaaaaaaaaaaaaaaaana aisee kuachishwa kazi tena naona ni ndoto kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! mume agani huyo atakayediriki kufanya huo 'upuuzi'
nikuulize hivi 'muheshimiwa siku moja anakuja na hiyo kuwa mama sasa kazi basi kaa nyumbani, sioni sababu y awewe kumenyeka.....utafanya nini Carmel???
hahaaa na mbona mpaka leo hamjatengana??? alikuwa anapima kina cha maji huyo!!!
mi ntamwambia yeye aache mi niendeleee kufanya kazi!!!
ucje niambia mtu akiambiwa hivyo bado ataendelea na mikakati ya ndoa dear, mbona ndoa zimekuwa za masharti sana.
sidhani kama siku kama hiyo ipo kwenye kalenda ya kichwa chake, maana jibu tayari analijua. some things are just imposible you know. Mimi ntaacha kazi kwa kupenda mwenyewe na kwa sababu ambazo naona zinafaa na siyo kwa sababu tu mume ametaka niache. Kuna watu wanawambia wake zao you get everthing, why not stay at home? kumbe wanasahau hata maji ya asubuhi uogapo kwenda job ni dawa, it gives you a sense of fulfilment, it gives you exposure and you get time to know what is going on. Sasa ukifungiwa ndani ubaki unapika na kupakua, unalala na kuangalia tv, for some of us thats more than being in a prison. ieleweke watu wqnafanya kazi kwa malengo mbalimbali si tu mshahara.