Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Kumbuka hawo wakimbiz haramu ndio kimbilio LETU tunapokosa kura je unajua hilo
 
Na mimi niongezee;
kama ni mgeni hasa nyinyi wa mikoani na vichench vyenu! usijidai ww ni papaa na mpenda kunjunja! ukiwa kwenye tule monde mwananyamala, unaweza kushobokewa na demu kisuu! zaidi ya beyonce! ukajiona umepata kumbe watu wako kazini!
ukiwa kwenye tule monde mwananyamala, unaweza kushobokewa na demu kisuu! zaidi ya beyonce! ukajiona umepata kumbe watu wako kazini!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…