Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Baada ya sakasaka ya unga,mateja wengi wanafata mzigo maduka matatu au GEREJI MCHANGANI sema huuziwi kama hujulikani.
Kuna nyumba wanauza gongo miaka minne nyuma kila siku kuna polisi kutoka mwinyjuma lazima waende.
1.Polisi mmoja ana bunduki
2.Na redio yao ya upepo
3.Ana kirungu,miaka yote ndo haohao na wamegawana hizo zana,siwoni siku hizi.
 
Ali mbade amekuwa anauza uza sijui nin pale na kisauti chake flani hivi kwa mbele kuna shomari Ali tulisoma nae pia..kuna jeba khasim wote wapo maeneo hayo hayo
Anauza vitu vya asili kuna nilisikia alikua south aseee kuna siku nilionana na mtumwa ramadhani kanisimamisha me nilimsahau kabisa akaniuliza we sio flani nikamjibi ni mm lakini sikukumbuki jaman akaniambia hata hivyo miaka mingi mnoooo sema sura yako haijabadirika basi akanitajia jina tukasalimiana kwa furaha na kupeana no
 
Huu uzi utaenda halafu kuna.mtu atasuggest ifanyike get together, subirini tu mtaniambia
Ningekuwa nimekulia mwananyamala nisingekuja kwny hiyo sherehe mzee wako mtata sana na hivi nina para
 
Polisi wa mwinyijuma, minazini na obey walikuwa wanajua vilinge vyote na muda wa kwenda kudaka, walikuwa wanapokezana kwa wiki.
 
Huko UJIJI ndo "jehanam" ya mwananyamala
 
Polisi wa mwinyijuma, minazini na obey walikuwa wanajua vilinge vyote na muda wa kwenda kudaka, walikuwa wanapokezana kwa wiki.
Ewaaaaaaa.....
Pale Mwinyjuma pale kwa hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukilemaa wanakupeleka Obay fastaaa,nilichelewa jamaa yangu wakamlaza O bay ikanitoka 60k kesho yake ndo namtoa
 
Mtumwa namkumbuka sana...kuna mtu anaitwa hussen bakari ustadh nilikutana nae na mohamed (kimeta) wakaniambia kuna kuwa na miting kila jpili ya LY 1999 sijui ni lamada sijui ni wapi sema nikapoteza mawasiliano yao
 
Ewaaaaaaa.....
Pale Mwinyjuma pale kwa hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukilemaa wanakupeleka Obay fastaaa,nilichelewa jamaa yangu wakamlaza O bay ikanitoka 60k kesho yake ndo namtoa
Walikuwa na sungusungu mmoja mnoko sana pale mwinyijuma ila jina nimemsahau
 
Reactions: SDG
Hivi mtumwa yupo kweli?
 
Now wana mgambo mmoja hivi wa maduka matatu
Siku hizi napita tu pale ila miaka ya nyuma siku mmoja polisi wa mwinyijuma walimkama mlinzi wa nyumbani kwetu kino kwa kosa la uzururaji so wakati napita akaniona akaniita na kuniambia nikamwite maza polisi walivyosikia hivyo wakaogopa sana maana walikuwa hawamjui na hawajawahi kumuona ila walikuwa wanaambiana tu wenye nyumba ila ni wafanyakazi wa usalama wa taifa basi maza alipofika wala akuuliza akawaambia mtoeni kama wakamtoa kwa uoga wa kutojua. Kumbe bi mkubwa alikuwa anafanya kazi sigara. Basi nikawa nikipita hata mimi wananiogopa, one day tuko home nje maskani na wanangu mpaka saa 9 usiku wakapita polisi wa obey wakataka kutukamata wakaambia hao waacheni msiwaguse hata kidogo. Basi ikawa burudani usiku ni vibaka wala kukwamatwa na polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…