Vyuma vimeachia toka tuambiwe kusema vimekaza ni marufuku, kuonyesha kwamba watu wapo vizuri wengi waliamua kufanya yao kujisahaulisha baadhi ya mambo yanayoendelea hapa nchini kwa muda hasa kwa kipindi hichi cha kusheherehekea sikukuu za Christmas na mwaka mpya. Wiki ya kwanza imeanza na Christmas na watu wamejiachia vilivyo.
Tupia picha ya kituko chochote kilichotokea katika msimu huu.. Mi naanza kama hivi.