Vituko vya Mkuu mpya wa Mkoa Kagera John Mongela

chama cha mapinduzi ndo kimeharibu mkoa ule!, wanachama wanaumbea umbea sana!, majungu mtindo mmoja!
 
Mongela ni mtani wa wahaya. Hawawezi kumfanya lolote. La msingi tuhuma zilizoletwa na mwanzishaji wa uzi huu hazina mashiko. Yawezekana wana mambo yao binafsi na sasa anatumia jukwaa hili kujaribu kumchafua mwenzake. Tabia kama hizi ni za hovyo, tuachanane nazo.
 
Acha ubishi. Mleta uzi kasema ukweli. Huyu RC ni kituko kabisa. Kuna mambo mengi ya kijinga anayafanya. Yaani sielewi akili yake ikoje.
 
ndio maana
ndio maana kuna mkuu wa wilaya aiwachapa viboko walimu wao wazembe
 
We mleta hii mada ni jipu. Mara umesema kafuta siku ya usafi, mara kasema hawezi kushiriki usafi, mwisho unasema kaagiza kila jumapili watu wakafanye usafi na waende na vifaa vya usafi akiwemo na yeye! we una chuki binafsi.
 
wewe kweli akili huna. unadhani kuna umuhimu sana wa wewe kuona? kwani wewe ni nani hata usipoona?
Mi nimeona kadi za saccos ya Mbowe zinakusanywa toka kwa malofa tu. Au ndio kituko chenyewe!?
 
Ufagio mpya hufagia vizuri na wazamani unajua uchafu uliko.
 
Moja ya mikoa mepes sana kuiendesha na kuwaendesha watu wake ni bukoba.so hao watu wangekuwa wagumu wasingekubal kwenda kazin jumapili.now wameishia kulalamika.watu wa bukoba ni waoga na wanafiki sana mimi nmekaa huko miaka zaidi ya 10 ungenambia arusha,mbeya,mara/musoma na mwanza kidogo but si bukoba hata kidogo.
 
Sikuizi sijui kwanini kila mwisho wa mwezi nikikatwa kodi toka kwenye mshahara kwa ajili ya kuchangia nchi nakuwa na furaha sana
 
Huyu ndiye aliyeamuru wazaz wote ambao hawatawanunulia watoto wao sare za shule,viatu,madaftar,wachapwe bakora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…