Vituko vya mabango ya Mei Mosi -Mbeya

Mbugi

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
1,488
Reaction score
258
Mabango yaliyosisimua wasomaji katika maandamano ya wafanyakazi mbeya ni kama ifuatavyo;


  1. WALIMU WALIKUJKA NA MPYA KWA KUSEMA " FUKAMA KWA MAANA YA " FUNDISHA KADIRI YA MALIPO"
  2. PUNGUZA MISHAHARA ONGEZA KODI YA MAPATO
  3. MISHAHARA DUNI NI JANGA LA TAIFA
 

Mei mosi ni siku ya wafanyakazi na ni haki yao kusema kwa namna yoyote kufikisha malalamiko yao...sioni cha ajabu hapa.
 

hapakuwa na haja ya kuunda tume kuchunguza sababu za matokeo mabaya ya form 4...well done walim
 
Natumai itakuwa Ongeza Mishahara, Punguza Kodi ya Mapato (PAYE)
 
una hakika anajua kusoma kichina? Mbona unazungumza kimahaba ya chama zaidi kuliko hatma ya taifa?

Inawezekana anajua, but I would like to believe that was a joke! But on a serious note; kwako wewe maslahi ya kitaifa ni yepi???
 
Maslahi ya Watumishi yaangaliwe upya.
 

Atakuwa amewapuuza tu, na kuona ni upepo tu nao utapita.
 

walimu wasikilizwe otherwise watakuja ua watoto wetu
 
Mgaya ameshawekwa sawa si umesikia Mkulu alivomfagilia kwa kumuita katibu mkuu mahiri, na kuisifu hotuba yake? sijui uchaguzi wa TUCTA lini tusafishe hivi virusi kwenye shirikisho letu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…