Vituko vya Lema enzi za spika Ndugai

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Godbless Lema alifungiwa mwaka mzima wa kuhudhuria vikao vya bunge mwaka 2020 baada ya kushusha mashairi badala ya kujitetea pale alipoitwa na kamati ya bunge kumhoji juu ya kutoa kauli chafu kwa rais na kusababisha kushusha hadhi ya bunge.

Haya hapa ndiyo mashairi ya Lema.

Waheshimiwa wa kamati ya bunge mimi Godbless Lema nasema nilifanya, narudia tena nilifanya, mkinipa nafasi tena nafanya, na naomba mnichukulie hatua.

Baada ya mashairi hayo Lema alifungiwa mwaka mzima kuhudhuria vikao vya bunge na baada ya kushindwa uchaguzi alikimbilia Ulaya kwenda kulelewa kama mkimbizi yeye na familia yake.
 
Lema Alikimbia aibu!

Wala sio kutishiwa maisha wala chochote kile.....

Lema,Wenje na Yule Mhaya aliyeko Uingereza anaeitwa ....

Walitumia nafasi ya vurugu walizoziasisi kwa jina la Operation UKUTA na wakatimkia kwa mabwana tofauti.
 
Na wote waliomfanyia hila hizo mmoja yupo kaburini na mwingine hajulikani alipo maana alifukuzwa kwa aibu. Lema ndio pekee kabakia shujaa
 
Lema Alikimbia aibu!

Wala sio kutishiwa maisha wala chochote kile.....

Lema,Wenje na Yule Mhaya aliyeko Uingereza anaeitwa ....

Walitumia nafasi ya vurugu walizoziasisi kwa jina la Operation UKUTA na wakatimkia kwa mabwana tofauti.
Watarudi tu
 
Godbless Lema alifungiwa mwaka mzima wa kuhudhuria vikao vya bunge mwaka 2020 baada ya kushusha mashairi badala ya kujitetea pale alipoitwa na kamati ya bunge kumhoji juu ya kutoa kauli chafu kwa rais na kusababisha kushusha hadhi ya bunge.

Haya hapa ndiyo mashairi ya Lema.

Waheshimiwa wa kamati ya bunge mimi Godbless Lema nasema nilifanya, narudia tena nilifanya, mkinipa nafasi tena nafanya, na naomba mnichukulie hatua.

Baada ya mashairi hayo Lema alifungiwa mwaka mzima kuhudhuria vikao vya bunge na baada ya kushindwa uchaguzi alikimbilia Ulaya kwenda kulelewa kama mkimbizi yeye na familia yake.
Mlikuwa wapi wakati ule?
 
Back
Top Bottom