Digital Marketer
Senior Member
- May 1, 2019
- 112
- 149
Mwaka gani hili tukio ndugu..?nilipigwa ki pepsi cha mdomo katka purukushani, jamaa akawah akapata seat kuingia akaniomba msamaha akanipisha kwenye kiti akataka kunipa hela nikamwambia asihof, nashuka mawenzi mdomo km jaba naingia saloon wa dada wanacheka, nikatoka.
2017 mzeeMwaka gani hili tukio ndugu..?
nilipigwa ki pepsi cha mdomo katka purukushani, jamaa akawah akapata seat kuingia akaniomba msamaha akanipisha kwenye kiti akataka kunipa hela nikamwambia asihof, nashuka mawenzi mdomo km jaba naingia saloon wa dada wanacheka, nikatoka.
Okay kumbe ni juzi tu.2017 mzee
Vuta ka mkopo uchukue ka ist kako!!!Usafiri ni tabu. Nimeshasahau ni lini mara ya mwisho nilifanikiwa kupata siti kwenye daladala. Kila siku nabembea na chuma.
Hahaha; yani kuna watu mule zao ni kubambia tu; kwaiyo ukamuachia baba yoyoyoNilipanda na mmsai akanibambia
aHahaha; yani kuna watu mule zao ni kubambia tu; kwaiyo ukamuachia baba yoyoyo
Pole sana mkuu; hahahaha kwaiyo isingekuwa uyo baba; uwenda yangekuta kama kilichomkuta yule bi mkubwa wa mwendokasiBaba mmoja akamtukana, akashukia njiani
a
๐๐๐eee,,,Pole sana mkuu; hahahaha kwaiyo isingekuwa uyo baba; uwenda yangekuta kama kilichomkuta yule bi mkubwa wa mwendokasi
Bi mkubwa aliacha mpaka jamaa akamaliza๐๐๐eee,,,
Usafiri ni tabu. Nimeshasahau ni lini mara ya mwisho nilifanikiwa kupata siti kwenye daladala. Kila siku nabembea na chuma.
Mi nilitaka hela ya iPhone,, angeitoa๐๐Bi mkubwa aliacha mpaka jamaa akamaliza
Ndo akamkwida nilipe hela ya kanga zangu;