vituko vya chooni

Fatma Bawazir

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
491
Reaction score
180
Mke alimpa mme radio aende nayo choon, asiboreke sababu hua anakaa sana chooni.
ALPOTOKA.
Mke: akamuuliza Vp ulienjoy?
Mme:akajibu wajinga! Waliweka wimbo wa taifa, nimekunya huku nimesimama!
 
Mke alimpa mme radio aende nayo choon, asiboreke sababu hua anakaa sana chooni.
ALPOTOKA.
Mke: akamuuliza Vp ulienjoy?
Mme:akajibu wajinga! Waliweka wimbo wa taifa, nimekunya huku nimesimama!

Teh teh unatisha, ungekuwa wa kwaya je?
 
hwihwihwiiiiiiii aaaha hehehehhee mbavu zango thank u:yo:
 
ndugu hii ya hapa hapa ilishatoka na ilishachuja but hahahaha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…