Vituko vya Bhoke BBA ni sera nzuri za CCM???!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vituko vya Bhoke BBA ni sera nzuri za CCM???!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Al Zagawi, Jun 19, 2011.

 1. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,721
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  Nakumbuka Wakati Richard aliposhinda BBA miaka michache iliyopita, kuna vimbelembele(soma viongozi) kutoka CCM walidai kuwa ushindi huo ulikuwa ni matokeo ya sera nzuri za CCM katika kuendeleza utamaduni na michezo. Hiyo ilikuwa ni licha ya aibu alizofanya Rich akiwa BBA na bi Tatiana kutoka Malawi.

  Majuzi mshiriki kutoke TZ, Bhoke amerudi na zigo la aibu, alichokifanya na yule kijana kutoka Uganda kinafahamika na kila mwenye kufatilia matukio.

  Sijasikia comments za viongozi wa CCM (au wameshughulishwa na tishio la kufutwa kwa posho?) wakieleza kuwa aibu hii ni matokeo ya nini, kushindwa kwa sera au ni vipi?

  CCM mpo, tuelezeni basi, mbona kimya??? au mnasubiri kudandia treni kwa mbele???? Maana siku hizi huwa mnasubiri suprise mkurupuke na hoja mfu!!!!! always behind the time!!!! shame!!!
   
 2. kintu

  kintu JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 508
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Bhoke>>>CCM>>>???
   
 3. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Magamba hawana dili hao watakuumiza kichwa tu.
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ahahahah!!
   
 5. k

  kujivuagamba New Member

  #5
  Jun 20, 2011
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatiana ni namibia tafadhali
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  Jun 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Eti kuendeleza utamaduni na michezo..
  Upumbavu sana huu na ushenzi mtupu..
  Mpaka leo na hasira na CCM tangu
  Wafute michezo shuleni ..
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Jun 20, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Sio Angola?
   
 8. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ningekuwa mimi ningepiga marufuku watz kushiriki na napiga marufuku kutangaza BBA tz, hii ni aibu ya taifa
   
 9. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #9
  Jun 20, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Ni Angola mzee
   
 10. n

  nyantella JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45

  Bhoke si mwanamke? kwani kigeni kilichofanyika nini? angekua mvulana kageuzwa ningeona issue. Mbona kina Mwisho na Richard wamefanya kwa raha zao na mabinti wa nchi nyingine? halafu mwenyewe katamka wazi hajutii kale ka mchezo it means she enjoyed so what is a big deal?
   
Loading...