MESTOD
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 4,798
- 2,008
Mwigulu Nchemba anaelewa heshima kubwa aliyonayo Dr. Slaa, si ajabu aliamrisha askari wazidishe ulinzi kwenye mkutano wake!.
Hivi, huyu ni IGP?
Mwigulu Nchemba anaelewa heshima kubwa aliyonayo Dr. Slaa, si ajabu aliamrisha askari wazidishe ulinzi kwenye mkutano wake!.
JESCA KISHOA, Huu si mkwara, "Hili gamba anazunguka na tindikali na mabomu"Na hapo chini ni facebook page ya mh Mbunge wa Iramba
"ONYO KALI KWA JESCA KISHOA(CHADEMA) KUNITUKANA JIMBONI KWANGU IWE MWANZO NA MWISHO.
Ndugu,
Jesca Kishoa,Nimepata habari na mkanda mzima wa mikutano yako ya kufungua matawi ya CHADEMA wilaya ya Iramba.
Umetumia siku nzima kunitukana,kunizushia na kuwazuia wananchi wangu kushiriki shughuli za maendeleo ya wilaya yao.
Sijajua kama ulitumwa kuja kunitukana ama ni Utashi wako.
Ninachotaka kukushauri usimfuate tena mamba kwenye kina kirefu cha maji.Hata wakubwa wako wote,chama kizima huu mziki ulishawashinda na bado wanahangaika nao kila siku bila mafanikio na katu hawata fanikiwa.!
Nimeona nikushauri tu kuwa unaweza kufungua matawi ya chama chako kila kitongoji au kila mtaa lakini usirudie matusi kwangu na wala usirudie kuwashawishi wananchi wangu washishiriki shughuli za maendeleo kwa jina la kuwafundisha Elimu ya uraia.
Wilaya ya Iramba tumejenga maabara shule zote za kata(Boma za maabara) wewe hutaki kushiriki.
Tumefungua miradi ya maji kadhaa na mingine ipo kwenye hatua za mwisho katika vijiji na kata mbalimbali!
Tumejenga barabara za kuunganisha Wilaya ya Iramba yote iweze kupitika wakati wa masika na kiangazi!
Tumejenga zahanati,tunaongoza kwa mwaka wa pili mfululizo kwa huduma safi za Afya!
Tunafanya jitihada kuinua michezo ndani ya wilaya yetu,
Tumezungusha umeme wilaya ya Iramba na sasa tunapeleka umeme vijiji vyote vya Iramba.
Hivi CHADEMA mkoje,bila shaka hamna wazo mbala kwa maendeleo ya Wanairamba na Taifa hili mnaishia kutukana?
Wambie na waliokutuma msifungue matawi tu,jengeni makao makuu ya CHADEMA Kiomboi halafu tukutane kwenye uchaguzi.
Ukipata hata nusu ya kura zangu nitaandika barua kwenda tume wakutangaze Mbunge.
Look at You YoungLady>>>>UNAPOTEZA MUDA WAKO,UNAPOTEZA NGUVU NA UWEZO WAKO WA KUFIKIRI KWA KAZI HII YA KUNITUKANA,HUNA LA KUFANYA?UNAWINDA TEMBO KWA MANATI?
Nimekuonya kwaajili ya Matusi yako hayo.
TUTAHESHIMIANA"
mbinu zote hizo zitasaidia nini.....iwapo ndani ya mawazo ya watanzania hawaitaki CCM....?...wananchi wanaweza wasiende kwenye mikutano.....lakini kwenye sanduku la kura wakafanya maajabu,,,,,,mfano mdogo tutoe pale viwanja vya Soweto(Arusha)....pamoja na mabomu na watu kufa.....wananchi wa ile kata walifanya nini katika uchaguzi....?.....wasitishie watu....waimarishe sera zao..........
**MWONEKANO MAISHA BORA YA MTANZANIA CHADEMA IKISHIKA DOLA 2015**
Ni kweli ni bora chadema wachkue nchi ili maisha yawe rahis;
1.Asubuh kazin kwenda sa 4 na hakuna kuulizana ( KWA JINA LA HAKI ZA MFANYAKAZI)
2.Kuibiana wake inakua ni ''fair game'' coz mh rais ndo life style itakua iyo ( NDIO RAIS WETU SLAA MWONGOZO )
2.Majambaz watapata neema kwani hakuna kushikwa na polisi wala kubuguziwa. ( SIO HAKI KUKAMATAKAMATA RAIA)
3.Ukiamka asbh unakutana na kitita mlangon cha kufanyia maisha ya siku ( RASILIMALI NI NYINGI TUTALIPWA WOTE)
4.Wanafunzi looh,,mtian unakuja na maswali yako mwenywe il usifeli ( SERIKALI YA CCM ILIFELISHA SAANA)
5.Polisi wote likizo hamna kufanya kazI ( KUKAMATA KAMATA SIO HAKI)
6.Kila raia anakua usalama wa taifa kwan haina haja ya siri (HAWATIKIWI KUFICHWA LOLOTE NI HAKI KUJUA YOTE HATA IKULU LEO WAMEKULA NINI)
7.Bia,viroba sigara hakuna kutozwa kodi na serikali itaongezea cha juu kumpunguzia mlajI gharama Chadema mkombozi wa wananchi aja 2015 (KODI INAUMIZA SAANA WATANZANIA ACHENI WANYWE BURE)
8. WATU WAKIFANYA VURUGU KAMA MAANDAMANO WAZIRI MKUU WA WAKATI HUO MHESHIMIWA GODBLESS LEMA HATAAMLISHA WAKAMATWE ATASEMA SERIKALI IWAPE CHIPS KUKU NA CHODA KWANI SIO HAKI KUKAMATA WAANDAMANAJI
**********KILA LA HERI MAKAMANDA WA M4C*******
Hivi mbona mnapenda kuwatukana askar hata kwsa yale ambayo hawahusiki? Si sheria inawaagiza kulinda mikutano na mikusanyiko halali? Hiviîngekuwaje iwapo wangegoma kutoa huduma ya ulinzi? Halafu kejeli hizo mmesahau kama ndo zilimgharim j.k 2010 alipowa watishia waalim? Hiv mmesahau kuwa hata kura za àskari znahitajika kupata ushind mnono? Hivi mmesahau kuwa vyombo vya ulinzi walipiga kura za kutosha kwa wanamapinduzi?
Nimesikitishwa na wenje kuwasema polisi ni mbwa wkt ndo waliofanikisha ubunge wake.
wengine tukisikia neno mwigulu tunasikia kichefuchefu
NANI ANAANDIKA UHARO mavimavi HUNA LA KUFANYA shika jembe UKALIME UNAPUNGUZA HADHI YA JF! LOL
**MWONEKANO MAISHA BORA YA MTANZANIA CHADEMA IKISHIKA DOLA 2015**
Ni kweli ni bora chadema wachkue nchi ili maisha yawe rahis;
1.Asubuh kazin kwenda sa 4 na hakuna kuulizana ( KWA JINA LA HAKI ZA MFANYAKAZI)
2.Kuibiana wake inakua ni ''fair game'' coz mh rais ndo life style itakua iyo ( NDIO RAIS WETU SLAA MWONGOZO )
2.Majambaz watapata neema kwani hakuna kushikwa na polisi wala kubuguziwa. ( SIO HAKI KUKAMATAKAMATA RAIA)
3.Ukiamka asbh unakutana na kitita mlangon cha kufanyia maisha ya siku ( RASILIMALI NI NYINGI TUTALIPWA WOTE)
4.Wanafunzi looh,,mtian unakuja na maswali yako mwenywe il usifeli ( SERIKALI YA CCM ILIFELISHA SAANA)
5.Polisi wote likizo hamna kufanya kazI ( KUKAMATA KAMATA SIO HAKI)
6.Kila raia anakua usalama wa taifa kwan haina haja ya siri (HAWATIKIWI KUFICHWA LOLOTE NI HAKI KUJUA YOTE HATA IKULU LEO WAMEKULA NINI)
7.Bia,viroba sigara hakuna kutozwa kodi na serikali itaongezea cha juu kumpunguzia mlajI gharama Chadema mkombozi wa wananchi aja 2015 (KODI INAUMIZA SAANA WATANZANIA ACHENI WANYWE BURE)
8. WATU WAKIFANYA VURUGU KAMA MAANDAMANO WAZIRI MKUU WA WAKATI HUO MHESHIMIWA GODBLESS LEMA HATAAMLISHA WAKAMATWE ATASEMA SERIKALI IWAPE CHIPS KUKU NA CHODA KWANI SIO HAKI KUKAMATA WAANDAMANAJI
**********KILA LA HERI MAKAMANDA WA M4C*******
JESCA KISHOA, Huu si mkwara, "Hili gamba anazunguka na tindikali na mabomu"
Mwigulu
Nikupe deal next time wakija kwenye jimbo lako tena hao watu we walete Original Comedy ili washindwe tena kusikiliza hawajui hilo ni jimbo lako? Nakwambia hawatakwenda
TUTAHESHIMIANA TU
Askari mia moja ni wengi sana. Sasa kosa wanalofanya ccm ni kuwaacha hao askari wengi kusikiliza tenzi za rohoni toka mlima Sayuni. Lazima wazirai mioyo. Kwa ndani wanateketea kwa ukweli wanaousikia toka kwa timu ya M4C ila kwa nje ni wakavu kama bua. Moto wa ndani hauachi kitu salama. Wengi wa askari sasa wanajua ukweli kupitia kumwagwa kwao kwenye hizi M4C. Zidumu fikra zinazopelekea askari wengi kumwagwa kwenye mikutano ya wapinzani.