hahahaAhahaaa si unitaje tu
Nilijua tu anakulenga weweAhahaaa si unitaje tu
Mimi nimekuwa kinyonga lini Mkuu?Nilijua tu anakulenga wewe
Eti ni Mimi?πππππ
Weeeeee hahaha.Kuna mtu humu aliwahi kuja na uzi ana makalio makubwa mpaka anashindwa kutembea!Uzi ukafika page 200+ Moderator wakiwa kwenye zoezi la kuunga multiple ID ile ID ya uzi ikaungwa na mtu mmoja mkubwa sana humu
Mimi sio kinyonga hamnielewi tuMi sijakutaja we mlembo, toa shaka kabisa