Siku zote Tabia hujenga mazoea hatuwezi kuwatofautisha.Ni wabunge wachache sana ndani ya Bunge letu ambao hawakutoa wala kupokea Rushwa kwa Rushwa ya aina ye yote ile.Niwaombe Viongozi wetu waishi kwa maneno yao na vitendo.Na kama nilivyotangulia kusema hapo mwanzo wabadilike kitabia na wajielewe.kwani Tanzania ya sasa ni mpya siyo ya zamani YAMAZOEA