Vituko ndani ya Bunge la Tanzania

Mdau Makin

JF-Expert Member
Sep 5, 2014
767
207
Kwa hiyo bunge la wala RUSHWA linaisimamia serikali isiyoogopa RUSHWA yenye mahakama zenye kupokea RUSHWA.

Hawa wananchi wataendelea kujitafutia haki zao kwa utaratibu wanaojua wao kwakua RUSHWA SI RAFIKI WA HAKI.

By Mdau makin
 
Pameoza kote wanachofanya ni kushindana kupokea rushwa kubwa kubwa kujihakikishia maisha mazuri wanapostaafu.
 
Hapo sasa ndipo watz tunapomsubiri mtumbua majipu kuona atakachofanya maana amezungukwa na mjipu yaliyokwiva tayari.
 
Usiombe mlala hoi uingie kwenye 18 zao...Utapigwa miaka 30 kwa wizi wa 1000 wakati wao waliopiga pesa ndefu hata kesi hawatafunguliwa...Magu bado ana kazi sana kufanya katika uhalisia kwamba watawajibishwa kwa usawa bila kujali Itikadi za vyama wala nafasi ya mtu...
 
Wameingia Bungeni kwa Rushwa hivyo kama wao Wabunge imeihalalisha Rushwa kuwa ni halali.Kwani wao walitoa hivyo kwa wao wamejihalalishia Kupokea.Haijalishi ni Rushwa gani!!!!! AIBU GANI KWA TAIFA ILA WAJUE MAGOGONI YUPO MH.RAISI AMBAYE HATAKUBALI MAMBO HAYA
 
Siku zote Tabia hujenga mazoea hatuwezi kuwatofautisha.Ni wabunge wachache sana ndani ya Bunge letu ambao hawakutoa wala kupokea Rushwa kwa Rushwa ya aina ye yote ile.Niwaombe Viongozi wetu waishi kwa maneno yao na vitendo.Na kama nilivyotangulia kusema hapo mwanzo wabadilike kitabia na wajielewe.kwani Tanzania ya sasa ni mpya siyo ya zamani YAMAZOEA
 
Back
Top Bottom