Vifungo vinavyotolewa mahakamani siku hizi haviangalii sheria inasemaje.
Vinategemea jinsi unavyoweza kutambua thamani ya hakimu anayesiamamia kesi yako.
Ndiyo maana waweza sikia aliyefuja mabilioni ya mradi wa maji au vyumba vya madarasa akahukumiwa jela mwaka mmoja au faini milioni moja.
Lakini wakati huo huo anayekutwa na ganda la ngozi ya Kakakuona akatupwa jela miaka 30 na kazi ngumu.
Eti iwe mfano kwa wahujumu wengine!!
Kama bado uko Florida nakushauri ubaki huko huko na ukifa wakuzike au wakuchome moto huko uliko.
Usitudi Afrika