Huyo nimesoma nae...hana 70
Asante classmate π
Kama ulikuwa hujui...
Kabla magari hayajawa deal, Askari wa Usalama Barabarani walikuwa wanakamata baiskelk... Makosa yaliyokuwa yanakamatisha
1. Kama haina Kengele
2. Break
3. Bedal umebaki msongo
4. Kibati (Ushuru wa Halmashauri)
5. Tairi kipara
6. Haina taa au
7. Ina taa ilanhaina Dynamo au
8. Dyamo haifanyi kazi
9. Ukiendesha umevua shati...
10. Ukiendesha hujavaa Makubasi
Faini yake ilikuwa kati ya Shilingi 5 mpaka Sh 20... Nyakati hizo Baskeli mahiri Phoenix ilikuwa inauzwa Sh. 1500 na hizi Swala, Gazebo, shangsheng na nyingine zilikuwa 659-800
Sasa siku ukimsikia mtu anakwambia familia yao ilikuwa maskini mpaka hawakumudu kununua baskeli hizo ndo zilikuwa bei za baskeli...
Alafu kuna wale Askari wa Usiku na Usiku wa Manane, wenyewe wlikuwa wanakamata zisizo na taa tu... Faini yao ilikuwa 50 -200.... Yalishanikutaga mwenzenu