mod unayecheza na heading ya huu uzi unapata tabu sana,acha hizo bana mwisho wa siku naona unaelekea kuunganisha huu uzi. Heading:
1.niliwamiss tabsamu na numby
2.njoo tutabasamu pamoja
3.njoo tucheke pamoja

Aiseee MODS badilisha iwe Njoo tule, tunywe na tucheke na Numby. Alafu hapo Numbisa atakuwa tayari ana deni letu, la vinywaji na vyakula. Ntakupa 10% yako wallahi!