Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wenzetu wanajua mziki mfano mzuri ni nchi ya Nigeria .Burna boy ,davido na Rema ni baadhi ya wanamziki waliofanya show kwenye matukio makubwa .,ufunguzi wa Kombe la dunia na UEFA lakini kama haitoshi Rema amefanya show kwenye tukio kubwa la ugawaji wa tuzo za Ballon d'or ,wanapata hayo mashavu kwa sababu wapo siriasi na mziki kuanzia mavazi mpaka utunzi wao wa mashairi ..mziki unahitaji Branding

Njoo Tanzania sasa,Mbosso ni msanii mkubwa tu tena yupo lebo kubwa ya WCB lakini cha ajabu anakuwa kama upcoming star wa vichochoroni ,hivi tunategemea mziki wetu usikilizwe na kutazamwa kama mwanaume anaingia na kanga stejini !! hichi ni kituko cha mwaka Waandaaji wa tamasha la wasafi Festival ni wabunifu ila wana over think sana ,wasanii wanafanya vitu ambavyo havina ulazima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…