Vituko mitandaoni. Tupia chako

Diamond Platnumz baada ya show yake Kenya alifichua kwamba alitapeliwa Bilioni 4 alipoagiza ndege yake.

Harmonize naye amesema kuwa alitapeliwa Bilioni 7 alizokuwa amepanga kufungua Media yake. Zaidi ya hilo amesema kuwa serikali inaendelea kulifanyia kazi tukio hilo, sawa na alichosema Diamond pia.

Harmonize ameongea haya kwenye interview baada ya kuingia Kenya kwa ajili ya show yake jijni Nairobi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…