Vituko mitandaoni. Tupia chako

This, I believe, is not an issue. Hiki anachofanya ndicho kitamfanya asife mapema kuliko tu kama angebweteka na kukaa nyumbani kula mafao. Wazungu unakuta akistaafu ndiyo kwanza anaanza career nyingine. Na inawasaidia sana kusukuma miaka wakiwa bize.

Mimi nampongeza afande kwa uamuzi wake na huyu anayetaka kumpangia maisha yake ni mnafiki tu 🚮
 
MICHAEL JACKSON AONGOZA TENA ORODHA YA MASTAA WALIOFARIKI WANAOINGIZA FEDHA NYINGI DUNIANI

Kwa mujibu wa Forbes, Michael Jackson (MJ) ameingiza zaidi ya Tsh. Bilioni 285 akiwatangulia nyota wengine kama Prince, Whitney Houston na Bob Marley

MJ alifariki mwaka 2009 akiwa na miaka 50 kwa kilichoelezwa kuwa ni kuzidisha Dawa za Kumsaidia kupunguza Maumivu

Soma Michael Jackson aendelea kuongoza list ya Wasanii waliofariki na wanaingiza Fedha nyingi

#JamiiForums #JFEntertainment

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…