kuna vitu vinachekesha sana huyu mzee utakuta ni mchaga tuh
Nipo mzima wa afya kbs.Wasichana wa Sumve waliletwa shuleni kwetu kwenye muziki wakati wa graduation. Usiku mabaharia wakazama bwenini walikopangiwa kulala wakapita mpaka na matroni wao. Kilichotokea sitaki kukumbuka.
Hujambo bageshi?
Hahahaaa!Mambo yalikuwa full undava aisee!.Ogaaah!
LEGEND KATOKA ZAKE JELA UPWIRU KAMA WOTE AKATAKA AENDE NYUMBANI AKAAMBIWA MAMA YAKE KATOKA AKAONA ISIWE TABU AKANYOOSHA CLUB KUPOOZESHA MWILI MAANA ALIMISS SANA MIEZI NANE JELA SIO KITU KIDOGO ANAFIKA TUU ANAKUTANA NA AKINA FAITH EVANS MKE WA BIG AKIWA NA STRESS ZAKE ZILIZOSABISHWA NA UGOMVI WA MARA KWA MARA NA MUMEWE AKAAMUA AENDE CLUB HIYO YA HOLLYWOOD ATHLETIC CLUB NA MARAFIKI ZAKE KAMA TREACH ILI APOTEZE MAWAZO MARA PAAP NDIYO ANAONANA NA TUPAC WAKAONA ISIWE TABU WACHILL PAMOJA STORI ZA HAPA NA PALE MWAMBA AKAMPA VITU VIKALI FAITH EVANS STIMU ZIKAPANDA WAKAPATA MZUKA CLUB INAWAKA VIBE LA MAANA WATU WANAIMBA WATU WANACHANA TUPAC AKAONA ASOGEE NAYE KABISA STUDIO KUREKODI WIMBO WAO WA KIHUNI ULIOSABABISHWA NA LILE VIBE WIMBO WENYEWE UNAITWA "WONDER WHY THEY CALL YOU BITCH" BAADA YA HAPO MWAMBA KAMCHUKUA MTOTO AKAENDA KUJIPOOZEA HOTELINI, BIG KUPATA TAARIFA ALICHOKA NA BIFU NDIYO LIKAKOLEAA.....HIYO NI OCTOBER 1995.View attachment 2797216
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyekutapeli bado yuko hai? π€Hizi pesa ni feki nilizipost mimi JF nadhani 2013 baada ya kutapeliwa mzigo katiakoo gerezani na hapo ni Chang'ombe polisiView attachment 2797230
Sent using Jamii Forums mobile app
DuhHizi pesa ni feki nilizipost mimi JF nadhani 2013 baada ya kutapeliwa mzigo katiakoo gerezani na hapo ni Chang'ombe polisiView attachment 2797230
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo umeamua kutufokeaOgaaah!
LEGEND KATOKA ZAKE JELA UPWIRU KAMA WOTE AKATAKA AENDE NYUMBANI AKAAMBIWA MAMA YAKE KATOKA AKAONA ISIWE TABU AKANYOOSHA CLUB KUPOOZESHA MWILI MAANA ALIMISS SANA MIEZI NANE JELA SIO KITU KIDOGO ANAFIKA TUU ANAKUTANA NA AKINA FAITH EVANS MKE WA BIG AKIWA NA STRESS ZAKE ZILIZOSABISHWA NA UGOMVI WA MARA KWA MARA NA MUMEWE AKAAMUA AENDE CLUB HIYO YA HOLLYWOOD ATHLETIC CLUB NA MARAFIKI ZAKE KAMA TREACH ILI APOTEZE MAWAZO MARA PAAP NDIYO ANAONANA NA TUPAC WAKAONA ISIWE TABU WACHILL PAMOJA STORI ZA HAPA NA PALE MWAMBA AKAMPA VITU VIKALI FAITH EVANS STIMU ZIKAPANDA WAKAPATA MZUKA CLUB INAWAKA VIBE LA MAANA WATU WANAIMBA WATU WANACHANA TUPAC AKAONA ASOGEE NAYE KABISA STUDIO KUREKODI WIMBO WAO WA KIHUNI ULIOSABABISHWA NA LILE VIBE WIMBO WENYEWE UNAITWA "WONDER WHY THEY CALL YOU BITCH" BAADA YA HAPO MWAMBA KAMCHUKUA MTOTO AKAENDA KUJIPOOZEA HOTELINI, BIG KUPATA TAARIFA ALICHOKA NA BIFU NDIYO LIKAKOLEAA.....HIYO NI OCTOBER 1995.View attachment 2797216
Sent using Jamii Forums mobile app
Aerodamically impossible!
Ukiona hivyo labda kakutana na mlozi anayemzidi maarifa huko kilingeni hayuko sawa ππLeo umeamua kutufokea
NaonaUkiona hivyo labda kakutana na mlozi anayemzidi maarifa huko kilingeni hayuko sawa ππ
...au kala makande ambayo hayakuiva sawasawa....