Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
[emoji28][emoji28]dah sio poa
AiseeeHizi noti sita zisshau siku nilichapwa na raia wema kisa kumdanganya bibi kua shilingi 50 ni 200!
Bibi alikua haoni, sasa huko alikoenda kununua kitu hela haitoshi, niliangushiwa msala sijasahau mpaka leoView attachment 2795249View attachment 2795250
Hii ndio michongo ya kufukuzia sasa[emoji38][emoji38]
Dah! ππππ
Utoto bana itabidi nibadili ππππ,sijui nilikua nawaza nini....Mwambie kabisa wewe ni kaskazini empire [emoji3]
Serikali imesikia kilio chetu mloganzila hoyeeeππππ...ila kizazi hiki mambo sio mabaya kivile sema mmetukomalia tuuu.Au hivi πππ π₯π₯π₯β€οΈ
Na yote bila tako ni kazi bure ππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
View attachment 2795368
Najua.Serikali imesikia kilio chetu mloganzila hoyeeeππππ...ila kizazi hiki mambo sio mabaya kivile sema mmetukomalia tuuu.