Vituko mitandaoni. Tupia chako

"Kaka Malisa mimi ni askari wa cheo cha chini. Nimetoa 10,000/= kumlipia Afande IGP na Makamishna wote wa polisi makao makuu, kuwakumbusha kwamba sisi askari wadogo hatuna uniform. Afande IGP alimwambia Rais kuwa polisi tunazalisha uniform 100,000 kwa mwaka. Sisi askari wadogo tupo 30,000 kwahiyo tungeweza kupewa hata uniform 3 mpya kila mwaka, lakini tulizonazo zimejaa viraka. Kwa sadaka hii naomba atukumbuke"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…