Ukiamka uko mzima mshukuru Mungu sana ππΏππΏππΏ
Huyu ni mgonjwa wa figo. Kutokana na umaarufu wa hizi energy drinks, watu kutokunywa maji mengi na utumiaji wa vilevi vikali, kuongezeka kwa ugonjwa wa presha na matumizi ya chumvi kupindukia wataalamu wa afya wanaonya kuwa miaka 10-20 ijayo kutakuwa na mripuko mkubwa wa magonjwa ya figo, ini moyo na kisukari.