Serikali hutoa stipend kidogo kwa watu masikini kila mwezi. Na si ajabu kukuta mtu ni homeless lakini anafanya kazi hizi za kima cha chini huko McDonald's na KFC. Mshahara anaopata unakuwa haumuwezeshi kupanga hata chumba kimoja maana katika miji mingi rent ziko juu sana.