Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko na historia

MARIA LETIZIA RAMOLINO ...mwanamke aliyezaa WAFALME 4 Wa nchi tofauti.....dunia inamtambua kama MAMA WA WATUKUFU

Maria Letizia Ramolini alizaliwa tar 24/8/1750 huko Corsica, katika Jamhuri ya Genoa

Aliolewa akiwa na miaka 13 huku mume wake akiwa na miaka 17.. ...mume wake aliitwa Carlo Buonaparte

Maria Letizia Ramolino alijifungua watoto 13 na kati ya hao 5 walifariki wakiwa wadogo kabisa na 8 ndio walikuwa wakubwa....na katika hao watoto 8 watoto wake 5 walifanikiwa kuwa wafalme nao ni

NAPOLEON BUONAPARTE (alikuwa mfalme wa ufaransa)

JEROME (alikuwa mfalme wa westphalia ambayo kwa sasa ni kaskazini mashariki mwa ujerumani)

LUIS (alikuwa mfalme wa uholanzi)

JOSEPH (alikuwa mfalme wa naples na akawa mfalme wa uhispania)

ELISA (alikuwa mama mkuu wa taifa la Tuscany)

Just imagine this womb...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…