Ndugu Rais pole kwa safari ya Cuba kisha Uturuki kisirisiri kisha Zanzibar.Pesa za asilimia za miradi na hizi za kujiuzia bandari wanazokufichia Orkun Uturuki kwa nini usiwekeze hata Mkuranga watu wapate ajira? Halafu mbona wamekurudisha kimya kimya kwa ndege yao?Karibu Unguja!