Vituko mitandaoni. Tupia chako

tanzania's biggest killer

I lost my dad to this
 
tanzania's biggest killer

I lost my dad to this
Pole sana...Mzee wako apumzike salama.

Kuna trend sasa kwa wanaume hata kabla hawajagonga 40 huyoo acute hypertension mtu mnaongea leo kesho unasikia amezima tu ghafla kisa BP. Hata sijui tatizo ni nini. Juhudi za makusudi zinahitajika aisee. Na inabidi tubadili mfumo wetu wa maisha
 
pombe, nyama choma tamu sana

ngumu sana kujizuia

na mazoezi ni kipengele
 
Tuache nini mkuu katika kula na kunywa?
 
pombe, nyama choma tamu sana

ngumu sana kujizuia

na mazoezi ni kipengele
Na nyie mabaharia wengine hamna vifua. Mkipigwa chini huko na pisi zenu za Chuga basi mawazo kibao msongo wa mawazo Cortisol levels za juu mpaka mnajipa presha....Muwe na vifua mkipigwa chini mnapotezea tu (utafikiri rahisi!) 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…