"Mtoto wangu nimezaa na Mzungu, sikutka mtu yeyeyote ajue lakini alichokifanya Mkaliwenu nitamchukulia hatua kali. Mimi ndiye mtanzania wa kwanza kupendwa na warembo wa kizungu na kuzaa naye. Kama kuna mtu kazaa na Mzungu ajitokeze" Harmorapa[emoji16][emoji16][emoji16]