Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mi naona kama huyu Jamaa anaitwa Mshana amechanganyikiwa, anapost vitu visivyo eleweka vikaragosi na ni tofauti na maudhui ya uzi, sijui tatizo nini. Hata kama uzi aliuanzisha yeye lakn amekengeuka na ana matatizo
Hayo ni mambo yake ya uchawi nadhani. Na vyenyewe ni vituko mtandaoni tu 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…