Vituko mitandaoni. Tupia chako

Jinsi walivyokuwa wanamkita unadhani kuna mwanume huku uraiani anataka hiko kisima
 
Hivi hii ndio broccoli?! Sijawahi kuona mama mboga anapitisha mtaani kwetu. Ina ladha gani kama mchicha??
 
Akili mtu wangu
 
Hivi hii ndio broccoli?! Sijawahi kuona mama mboga anapitisha mtaani kwetu. Ina ladha gani kama mchicha??
Ikiiva sana inasagika inakuwa utopolo. Inatakiwa iwe steamed kama unataka kupata ladha yake halisi. Shida yake kubwa ni kuwa na kiwango kikubwa cha pesticides labda upate ile organic iliyokuzwa bila madawa. Vinginevyo ni kuipotezea tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…