Jifunze hili...
Kama una friji kuwa makini na vitu vyako unaweka humo kiafya.. Usije ukawa unakula makapi kila siku..
.
KUKU
hukaa siku 1 mpaka 2 tu
Nyama
hukaa siku 3mpaka5 tu
Yogurt
hukaa week 2 tu
Cheese
hukaa week3mpaka4
Maziwa
hukaa week 1.
Mayai
hukaa week 3 mpaka 5,
Mboga mboga
ni week 2
Ndimu, limao
week 1 mpaka 3..
.
#drkilesho
View attachment 2743658
Sent using
Jamii Forums mobile app