Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nipashe wanaripoti kuwa Polisi Mkoani Pwani wanamshikilia Mchungaji wa Kanisa moja la Kipentekoste na mtu aliyejifanya mshirikina kwa kudondoka na ungo Kanisani. Sasa Polisi kuanza kuhangaika na hisia za ushirikina katika nyumba za ibada, watajaza mahabusu. Lakini wanatumia kigezo gani kuchora mstari? Lakini tangu lini mazingaombwe ni jinai Tanzania? Madhara ya kusajili taasisi za dini ili zitumike kwa mambo yaliyo na maslahi kwa watawala ndiyo hayo. Taasisi hizo husajiliwa ndani ya wiki moja tu lakini zile taasisi halisi huchukua hata miaka 10 kupewa usajili.

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 31 Agosti 2023; 01:25 usiku
 
Kikwetu huyu ndie kiboboru
 
#FAHAMU Rais wa Gabon aliyepinduliwa, Ali Bongo alishawahi kuweka barafu ya bandia katika sikukuu ya Krismas ndani ya ikulu ya nchi hiyo kwa ajili ya kufurahi na kuburudika na familia yake.

Mtandao wa Bleacher Report mwaka 2015, walitoa taarifa kwamba mchezaji wa zamani wa Barcelona na sasa Inter Miami, Lionel Messi alilipwa Euro milioni 2.4 sawa na Tsh bilioni 7.6 kwa ajili ya kwenda Gabon kuungana na Rais Ali Bongo kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa uwanja wa Port-Gentil uliojengwa katika nchini hiyo.

#EastAfricaTV #AliBongo #Gabon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…