Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hakuna kitu wanaogopa waafrika kama umasikini.
Yuko tayari kuiba, kudanganya hata kuua ili mradi amiliki pesa ndefu .
 
Huyu jamaa alituambia tujifunze kwanza elimu ya Katiba kwa miaka mitatu ndipo tudai Katiba mpya. Miaka mitatu ni muda wa kuhitimu shahada ya sheria (LLB) Chuo Kikuu cha Tumaini. Ukisoma LLB ndani yake unasoma na sheria ya Katiba (Constitutional Law). Kwa lugha rahisi Ndumbaro alituambia watanzania wote tupate kwanza degree ya sheria ndio tudai Katiba mpya. Kiwango cha juu kabisa cha kupuuza maoni ya watanzania kuhusu Katiba wanayotaka. Leo kapelekwa wizara ya Sanaa na Utamaduni akahangaike na akina Steve Mweusi na Mkojani. Haya maisha jifunze kuwa humble tu. Nothing last permanent.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…