Yaani we dogo dah!
Nilishagakupa offer kwamba ukitaka kuoa nitafute nikusaidie kuangalia bone density....huyu hata kwa kumwangalia tu ni SDY. Yaani akibeba mimba tu anakuyutongia...na akizembea baada ya kujifungua ndo imetoka hiyo inakuwa SDY forever!
Kama kweli hupendi wanawake wanene kabisa kabisa nakuonea huruma sana!