Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kama poor katoa wapi mahela yote hayo au 'poor' inayoongelewa hapo ni tofauti na ile ninayoijua mimi. Maana mimi hapa nikijiangalia kuanzia chini mpaka juu (jumlisha na pochi) sijafikia kwenye shati tu la huyo rich
Ni mambele huko nadhani. Unaona Mark Zuckerberg au Steve Jobs na tisheti yake ile ile kila siku lakini sasa muone mfanyakazi wa McDonald's pamba alizovaa. Na kila toleo la iPhone lazima anunue. Kumbe ananunua kwa kutumia credit card....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…